
Raphael Tenthani inasemekana kuwa ndiye mtangazaji mchafu zaidi kutokea duniani
Raphael mara zote utakazo kutana nae huwezi ukamkuta nadhifu , mara kwa
mara utamkuta amevaa nguo zilizo chakaa na muda mwingine nguo zenye
matobo au viraka
Raphael ingawa ni mwandishi wa habari katika shirika la habari la BBC
nchini malawi lakini kwenye suala la usafi yeye limemkalia kushoto sana
,wakati mwingine unaweza ukakutana nae nywele hajachana, viatu
vimeachama , mdomo unanuka na mara kwa mara anakuwa katika hali ya ulevi
Raphael amekuwa gumzo sana katika mitandao ya kijamii huku wengi
wakimuhisi huenda anafanya hivyo ili asivunje masharti ya mganga
Ni kawaida kumuona Raphael akirusha habari akiwa mchafu bila kujali mahali husika alipo kuwepo.
Jumatatu, 26 Septemba 2016
Kutana na Mtangazaji Mchafu Zaidi Duniani
About Unknown
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.