MABASI YA ENDAYO KASI YAMEANZA KAZI JIJINI DAR ES SALAM
Magari hayo yameanza kazi hii leo majira ya asubuhi swali ni je? yanaweza kumaliza matatizo ya foleni jijini humo
wakazi wa dar es salam wameyapo kea vizuri kabisa na kuonekana inaweza kupuguza msonga mano hata kupuguza magomvi nyumbani baina ya mke na mume
Pia imewaongezea wananchi kuwa na imani ya chama cha mapinduzi kwa kutimiza ilani yake pia kuondoa kero ya usafiri jijini hapo
