Makamu wa Rais wa jamuhuri ya mungano wa Tanzania,Drt.Mohammed gharibu bilal akiangalia moja ya jiwe lenye madini huku akipata maelekezo kutoka kwa mkurugezi wa campuni ya aifola envestiment Co.ltd,Zuberi mabie,Kuhusu upatikanaji wa madini na utengenezaji wa unga wa 'lime powder'wakati makamu alikuwa akitembelea mabanda ya maonesho kwenye ufunguzi wa kongamano la uwekezaji wa ziwa Tanganyika,lililofanyika leo katika Hotel ya Tanganyika Kigoma
Jumatano, 9 Septemba 2015
AINA YA MADINI YA NAYO PATIKANA KIGOMA
About Unknown
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.