Watafiti wa Kizungu wanakesha kufanya tafiti chungu mzima na zingine majibu yake zinaweza kukuacha mdomo wazi.
Kwa mfano huu – jamaa eti wamebaini kuwa kushiriki tendo la ndoa mara
nyingi kunaongeza imani ya kiroho na hata imani kwa Mungu! Makubwa..
Kwa mujibu wa utafiti, tendo la ndoa hutoa homoni ya upendo iitwayo
oxytocin ambayo haiishi tu kutengeneza ukaribu wa kijamii bali pia imani
ya Mungu – hususan kwa wanaume.
Watafiti katika chuo kikuu cha Duke cha North Carolina, wanasema kuwa
tendo hilo huhamasisha imani – ama kuongeza imani katika Mungu na dini.
Utafiti huo umeliochapishwa mwishoni mwa wiki unaangalia homoni ya
oxytocin ambayo huamshwa zaidi wakati wa kufanya mapenzi, wakati wa
kuzaa na wakati wa kunyonyesha.
Jumatatu, 26 Septemba 2016
Faida za Kufanya Mapenzi Mara Nyingi Hizi Hapa...
About Unknown
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.