Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Mwigulu Nchemba amekemea tabia ya wananchi kufata mkumbo kuhamasisha maandamano ambayo hayana kibali kutoka kwenye vyombo vinavyo simamia usalama wa nchi.
Mh katoakauli hiyo kwenye mahojiano maalum na EATV kuhusu msimamo wa vyombo vya usalama wa nchini kutokana na kauli mbalimbali ya viongozi wa vyama vya kisiasa kutangaza uwepo wa maandamanoambapo polisi imepiga marufuku maandamano na mkutano yeyote nchizima.
Kuhusuvitendo vinavyoendelea vya kuchoma shule mbalimbali nchini, Mhe kaangiza kamati za ulizi na usalama kwa kila mkoa kutengeneza utaratibu wa kuweka mtengo ya kuwa kamata wahalifu wanaohujum miundombinu ya elimu nakuwafikisha mahakamani
