Featured Video

Jumatatu, 29 Agosti 2016

KILICHO WA KUTA MNYIKA , MBOWE NA LOWASA



Viongozi wa Chandema wamekamata na Polisi kupelekwa kituo kikuu cha polisi Dar es salam kwa ajili ya mahojiano.


akizungumza kwa kukamatwa kwa viongozi haomwanasheria mkuu wa chadema, Tundu Lissu walikamatwa na polisi kwa ajili ya mahojiano ni Edward Lowasa, Freeman Mbowe, John Mnyika, Dk Vincent Mashinji na Said Issah.



Lissu alisema
                    Tulikuwa kwenye kikao cha kamati kuu kilichojumuisha wajumbe na wabunge kwa ajili ya kujadili maswala mbalimbali ya chama.
Jumla ya wajumbe walikuwa 170. Tukiwa kwenye kikao walikuja watu wakasema tunatakiwa polisi kwa sababu tumekiuka agizo la kuto fanya mikutano
                                           

Unknown

About Unknown

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :