Show ya Chris brown "one hill of a nit" iliyokuwa ifanyike Australia mwenzi december mwaka huu imezuiliwa na serekali kwa madai ya tabia mbaya ya Chris Brown ya kuwadhalilisha wanawake.
Waziri huyo wa Australia amemzuia Chris kufanya ziara yake nchini humo kwa sababu yakumshambulia Rihanna mwaka 2009 .
Kikundi cha wanaharakati cha nchini humo kiitwacho "GET UP' kimeanzisha patition ya kupinga ziara ya Chris isifanyke kwa sababu ya tabia yake ya uonevu kwa wanawake, hadi sasa patition hiyo imesha sainiwa na watu zaidi ya 10,000.
Pia redio moja ya nchini humo itwayo "NOVA FM" imejitoa kwenye uandaaji wa show hiyo pia habari ya show hiyo iliyokuwa imeandikwa kwenye website ya redio hiyo nayo imefutwa