Kiukweli niliwekewa pingamizi na mgombea wa CCM Issa mohamed akidai sija zaminiwa na chama changu lakini nikawa nimetoa utetezi wa kujitosheleza tu kwa msimamizi msaidizi wa uchaguzi Salm Hassani Musuya wilaya ya kinondoni na msaidizi wake anaitwa Victor Muhenge'
'lakini kinacho onekana kwa mimi binafsi na hatamtazamo wa chama changu ningependa kusema hiki watanzania wote wajue pale kuna hujuma manispaa ya kinondoni kwamba Iddy Hassan anashirikiana na watendaji wa pale ku engineer hizi pingamizi za namna hii KALAPINA akasema
Kwa sababu aliwekea pingamizi wagombea wengi lakini kiukweli hazikuwa pingamizi zenye mashiko na ninashukuru na ningepende kuishukuru na tume ya uchaguzi na mkurugenzi wake kwa kuweza kutupilia mbali pingamizi la mgombea wa CCM
Jumatano, 9 Septemba 2015
KALAPINA AZUNGUMZIA PINGAMIZI LAKE ALILOWEKEWA NA MGOMBEA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
About Unknown
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.