Featured Video

Jumanne, 30 Agosti 2016

MPASUKO WA UKUTA KAMBLA YA SEPT 1


Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza Dg John Thobius amejiuzulu nafasi zake ndani ya chama hicho na kuhamia CCM kutokana na kukerwa na oparesheni UKUTA ambao umelenga kuleta vurugu nchini. amenukuliwa akisema
                                                Nimejaribu sana kuwaonya wenzangu kuachana na huo ujinga hawasikii
                         

Jumatatu, 29 Agosti 2016

KILICHO WA KUTA MNYIKA , MBOWE NA LOWASA



Viongozi wa Chandema wamekamata na Polisi kupelekwa kituo kikuu cha polisi Dar es salam kwa ajili ya mahojiano.


akizungumza kwa kukamatwa kwa viongozi haomwanasheria mkuu wa chadema, Tundu Lissu walikamatwa na polisi kwa ajili ya mahojiano ni Edward Lowasa, Freeman Mbowe, John Mnyika, Dk Vincent Mashinji na Said Issah.



Lissu alisema
                    Tulikuwa kwenye kikao cha kamati kuu kilichojumuisha wajumbe na wabunge kwa ajili ya kujadili maswala mbalimbali ya chama.
Jumla ya wajumbe walikuwa 170. Tukiwa kwenye kikao walikuja watu wakasema tunatakiwa polisi kwa sababu tumekiuka agizo la kuto fanya mikutano
                                           

Ijumaa, 26 Agosti 2016

Watakiona chamoto watakao andamana



Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Mwigulu Nchemba amekemea tabia ya wananchi kufata mkumbo kuhamasisha maandamano ambayo hayana kibali kutoka kwenye vyombo vinavyo simamia usalama wa nchi.

Mh katoakauli hiyo kwenye mahojiano maalum na EATV kuhusu msimamo wa vyombo vya usalama wa nchini kutokana na kauli mbalimbali ya viongozi wa vyama vya kisiasa kutangaza uwepo wa maandamanoambapo polisi imepiga marufuku maandamano na mkutano yeyote nchizima.

Kuhusuvitendo vinavyoendelea vya kuchoma shule mbalimbali nchini, Mhe kaangiza kamati za ulizi na usalama kwa kila mkoa kutengeneza utaratibu wa kuweka mtengo ya kuwa kamata wahalifu wanaohujum miundombinu ya elimu nakuwafikisha mahakamani

MAKUNDI YA LIGI YA MABIGWA ULAYA


KIGMA YETU


VICHEKESHO VYA WAFANYA BIASHARA WA MKOA WA KIGOMA



Hili ni soko la mkoa wa Kigoma linatarajiwe kuvunjwa nakujengwa soko la kisasa lenye majengo matatu ya gorofa tatu tatu.
Lakini kinachochelewasha maendeleo hayo ni wafanyabiashara wenyewe wakitia mgomo wa kutokuhamia eneo elekezi

Jumatano, 24 Agosti 2016

CHRISTIAN BELLA NISHIKE VIDEO

                   
                                    CHRISTIAN BELLA NISHEKE VIDEO