Mzee Makamba kujibu kauli ya Tundulisu kwa kusema Lisu wewe unatembea na fisadi alafu unasema Rais ndio anae husika na Esrol
Silah aliwataja pale mwembe yanga umesahau kijana pia fisadi papa leo ukonae meza mjoja kijana usijitie sahau Makamba alisema
