Featured Video

Jumanne, 18 Agosti 2015

TANZANIA STRATEGIC CITIES PROJECT [TSCP]

Mradi wa TSCP n i mradi unaotekelezwa katika miji nane ya kimkakati Tanzania ikiwa ni Ilemela, Arusha, Mwanza, Mbeya, Mtwara, Kigoma, Tanga na Dodoma pamoja na CDA.
Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji ilianza kutekeleza mradi wa TSCP mwaka 2008| na 2009.
Mradi huo umetekelezwa katika vipengele viwili (2) ambavyo ni Component 1 na 2.
Component  1 inajishughulisha na ujenzi wa miundombinu kamavile barabara,standi, madampo, mifereji na visimba vya kukusanyia taka.
Katika Halmashauri ya manispaa Kigoma ujiji mradi huu umeweza kujenga miundominu ifutayo
                                                   







 CHINI YA BENK YA DUNIA

Unknown

About Unknown

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :