Featured Video

Jumatatu, 21 Septemba 2015

MABASI 138 YA ENDAYO KASI YAMEWASILI BANDARINI DAR ES SALAM

Mabasi ya mwendo kasi 138 ya wasili bandari ya dar es salam kutoka nchini china. kuwasili kwa mabasi hayo ni mwanzo wa kutatua tatizo la usafiri wa jiji la dar es salam

    "Tumefikia hatua nzuri na ninaipongeza kampuni ya uda Rapd Transit {uda RT} kwa kuleta mabasi hayo kwa kutoa huduma ya usafiri katika kippindi hiki cha mpito. hii itaondoa adha ya usafiri katika jiji hili"
 Alisema mkuu wa mkoa wa dar es salam Saidi meck Sadik wakati anaongea na waandishi wa habari jana baada ya kufanya ziara bandari ya Dar es salam kujionea kuwasili kwa mabasi hayo
                                  




Unknown

About Unknown

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :